Slaus Technologies Tz1
 

Slaus Technologies Tz1 Admin Slaus Technologies Tz1 Admin Author
Title: BASI LA HOOD LAGONGANA NA LORI NA KUPINDUKA KWENYE MLIMA KITONGA
Author: Slaus Technologies Tz1 Admin
Rating 5 of 5 Des:
Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga mkoa...
Basi la kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.
 
Katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top